Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Mimi leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari yangu aina ya BMW mara Ghafla ikakwama kwenye Tope. Ikabidi nishuke kuisukua Loh! Ile kuamka nakuta nimesukuma kitanda hadi sebuleni. Ni ndoto gani ya kuchekesha ushawahi kuota.