Hi wana jf,
mi mwenzenu mara kwa mara huwa najiuliza ivi ikatokea kuwa aya maisha uliopo sasa ni ndoto tu na wewe kiualisia ni mtoto wa miaka mitano umelala ndo umeota maisha ulionayo sasa kama ww ni doctor,mwalimu,mwanachuo,polisi,mkabaji, mpigadebe nk. yote ni ndoto tu na ww ndo unashtuka toka usingizini unajikuta bado upo miaka mitano je utataman maisha yangeendelea hivyo au ungeshukuru kuwa ni ndoto tu ili urekebishe baadhi ya makosa uliyoyafanya kipindi cha maisha ya ndotoni.....
Hii unayoongelea pia ni ndoto.
Dah! ndio nini lakini Wiselady? yaani hapa leo nilisema kama hukutokea basi mimi nauza laptop na haina haja tena kuingia JF.usisahau pia kuwa nina ndoto yako.........
Dah! ndio nini lakini Wiselady? yaani hapa leo nilisema kama hukutokea basi mimi nauza laptop na haina haja tena kuingia JF.
Amin nakwambia umepona! fumba macho sekunde kadhaa ukiona mtu kavaa suti jeupe kwenye imagination yako ujue ndo mimi. Sasa ulikuwa wapi? mwenzio niligoma kukoga wiki nzima, kuonesha msisitizo wa kukukosa.hahaha!nilikuwa ndotoni,,hapa nimezinduka baada ya kukukosa muda nakuhs nina malaria nahtaji tiba
Inategemea umeota nini
Mi kuna kipindi niliota nipo na dada angu tunaongea.
Mara dada akaenda ktk droo akavuta dawa kama za aina 3 tofauti ili ameze
Sasa wakati anaenda ktk friji achukue maji, mi nikavizia nikachomoa dawa fulani nilizoona zinafanana na dawa za kichwa then nikameza.
Baada ya nusu saa nikaanza kujisikia ovyo ovyo. Ikabidi nimuulize dada kiusanii zile dawa zilikuwa za kutibu nini ??
Yeye akanijibu hazinihusu, niziache. Nikazidi kumbembeleza aniambie akaniuliza "unataka kumeza ??"
Nikamjibu nataka nijue tu ili siku nikiumwa nikazinunue.
Akacheeeeeka, halafu akajibu "HIVI NA WEWE UTAKUJA KUPATA MIMBA???"
Sasa unafikiri nitapenda au nishukuru kuendelea na ndoto kama hiyo ya kumeza vidonge vya mimba???
Kwanza ningejawa na furaha kubwa maana ningekuwa mtoto mdogo, ila ndoto nilizoota zimenikomaza akili mpaka ikawa kama ya mtu mzima......maendeleo yangekuja haraka kwangu