Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Nani alikua anajua kama leo hii ungekua hapo ulipo kama sio Mungu, hata kama mambo bado haya jakaa sawa jipige kifua unaweza [emoji123]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha nimechekaNgoja wale watu wanakuja muda so mrefu kukwambia thibitisha kuwa huyo Mungu yupo
aza BoyNgoja wale watu wanakuja muda so mrefu kukwambia thibitisha kuwa huyo Mungu yupo
Kuna mtu mmoja amewahi niambia unaona makaburi yale wamelala wasomi, wajanja matajiri, wazee wa mipango wakubwa kwa wadogo na wengine wasio na yote hayoNani alikua anajua kama leo hii ungekua hapo ulipo kama sio Mungu, hata kama mambo bado haya jakaa sawa jipige kifua unaweza [emoji123]
Kama wale jamaa waliokufa kizembe Kwa kulipa $250,000 Kila MTU, Dah Acheni MUNGU aitwe MUNGUK
Kuna mtu mmoja amewahi niambia unaona makaburi yale wamelala wasomi, wajanja matajiri, wazee wa mipango wakubwa kwa wadogo na wengine wasio na yote hayo
Haina maana kuwa wao ni wema sana au ni wakosaji kukushinda wewe,
Ila leo upo hai ni kwa neema tu.
Nikamjibu Asante maana kamaliza kila kitu.
Hahah! unyama thanah. 13 august natia timu apoaza Boy
ukicheki ukutani ukakuta chata za jichoHahah! unyama thanah. 13 august natia timu apo
Usijaliukicheki ukutani ukakuta chata za jicho
ujue ni mie, chafua sana hapo
tronics kitambo sana Veta