Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Mh! Wangu tumeachana tangu krismas,nimeishi naye miezi minne tu.
Aliniambia hivi
wewe ni mwanaume suruali hujiwezi kifedha afu huna hadhi ya kuwa mume wangu,acha wenye nazo wafaidi matunda yao,akaondoka kwenda kutembea tangu saa moja jioni mpaka saa saba usiku,nikamutimua mwezi huu amejaribu kuniomba msamaha,nilitoa na panga.
 
Reactions: SDG
baada ya kua kwny mahusiano kwa miaka mi4, aliniacha kwa sms t tu eti ''mi na ww basi'' ilikua ucku wa manane, nlikua macho so nliiona ile sms, ckumjibu kamwe..cha ajabu baada ya wiki akaanza kuntafuta, yan hapo ndo alinjua mi nan, hadi leo hana hamu na mm, kaoa lkn anansumbua..nlichomwambia muheshim mke wako kaka, mm co type yako tena
 
Reactions: SDG
Nakumbuka aliniambia naomba uniache kwani tayari nishapata mpenzi mwingine.
Kila nikifikiria nilimkosea wapi sijui!
 
Reactions: SDG
'deo najua nitakuwa mbali na wewe na wanaume hamuwezi vumilia,kama unaweza tafuta msichana mzuri kuliko mimi akuliwaze,ila usinsahau na nikirudi rudisha mapenzi kwangu,nakupenda sitokusaliti'hata hamu ya kuchepuka sina.i love u my mariamu!

Nouma sana hii!
 

Umenikumbusha 2005 nilipigiwa simu saa saba usiku "Naomba tuachane kwa amani" Nilibabaika sana usiku ulikuwa mrefu sana
 
Reactions: SDG
Sito sahau siku niliyompigia simu gal wangu
na kuniambia maneno haya ''usinisumbue niko na mmewangu tumepumzika''

sikuhiyo mishipa ya kichwa ilitoka,mashavu na pua yalikuwa mekundu sana nikifikiria cost nilizoingia kuajili ya huyo gal#
 
aisee! sijui ns mke wangu anadukuduku na mimi, unajua nikilewa nasema mengi kweli afu huwa sikumbuki zaidi ya kuambiwa nimesema yote yasiyoitajika afu anacheka anaendelea na mengine. ACHA NIJIPE MOYO.
 
Reactions: SDG
"Nitafute ukishazipata hela"hapo ni baada ya kunichuna mpaka nikabakiwa na suruali tu.mpaka leo sijamtafuta, ni miezi3 ishapita na nilivyokua najipa moyo kwamba nimepata mke mrembo, kuumbe she is a gold digger.
 
Reactions: SDG
Sintosahau siku aliponiambia nisiingie jf
Nalog off
 
Reactions: SDG
Mimi nilivyomaliza kumgegeda akaniambia nimemchafua tu wakati mwanaume nimejipinda kisawasawa

kweli kuna mambo dunia hii bax mm nliambiwa ctaki uhusiano na wew kuanzia leo na uspende kunfuatilia fuatilia,,, nliumia kchz yan nkajhc c mm kwa jnc nlvompenda
 
Reactions: SDG
Kuwa makini yaani hapo namba 2 mwenyewe ukajiona kidume haswa! Angalia kuna wanawake ni ma-pro kwenye haya mambo anaweza kuwa anakuibia mchana kweupe.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…