Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.
Its Over, huna hadhi ya kuwa na mtu kama mimi
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
1.Sitakuacha love,labda uniache wewe (nikimkumbuka hadi chozi linanshuka)
2.I love looking at u all the time,i have finally met my baby's mama'...(biggest liar of all times)
Yaaani yule binti alivyokuwa anaongea kama chiriku hata sikumbuki kwa kweli maana aliongea mengi ya kuniumiza na na mengine kufurahisha. Nitarudi nikikumbuka
oh really,am happy to hear tht,be my guest,hyo no 2 acha kabisa my friend,ilikuwa sheeeda
hilo kweli lazima likuumeBora ningeolewa na fulani!
Sitasahau pale nilipoambiwa... 'kuanzia leo iwe mwisho wako wa kunipa pesa, sitaki pesa zako' 'but i love you soo much mpaka joto liishe dar es salaam!
Halafu akaongezea... ' you are more than oxygen to me'!... Eenh!
Sasa maneno kama haya niyasahau ili iweje!
mahusiano yakiwa yanaanza wapenzi hupeana promise nzurinzuri ambazo huwa hawamaanishi hata kidogo"Ukiniiacha nakuua" Cha ajabu mie ndio nilianza kumuacha na hakuniua mpaka leo naishi!!!!! "I will never leave you no matter what" SIku niliyoachwa haya maneno yalijirudia mara mia tisa kasoro saba..... Dah mapenzi bana, unaweza kutamka chochote ila usimaanishe!!!!!!!!
inasikitisha pole sanaShe told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
ahahahaaa nimechekaje ebana hapo huwez kusahau hata mimi naona