Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?


Mkuu hata namie sitosahau lool
 
Ulivyo mtamu sitakaa nikuache bebi..
Na ukiniacha najiua ..l' never leave you bebi eangu HATA IWEJE!♥♥
Doohhh..
Cha ajabu narudi masomoni kammimba shosti af bebi sorry we ndo mke mie dooh af uliemzalisha amuoe babako kwendraa kafie mbali uko!!!
 
Lols. At least mine told me the truth.
 
Pamoja na yote uliyonifanyia,kumbuka nakupenda na cku zote nitakuthamini.
 
Reactions: SDG
"siwezi gombana na wazazi wangu kwa ajiri yako,kama mapenzi yaishie hapo,natumaini nimetumia kiswahili kinachoeleweka
wako......"
hiyo ilikuwa aya ya mwisho ya barua yake tukiwa form 4
but she iz my wife now and tunamtotom1 ile barua cjaichana nimeiweka hadi kesho
 
alianza dada angu katolewa posa kumbe yy
akaja akasema tarehe 20 naenda biharamulo kuna kazi nimepata kumbe anaenda kuolewa
 
A'm a pastor
Hainihusu hii .........!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…