Ni ngoma gan hupenda kuisikiliza mara kwa mara

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Eti kwako mdau ni mdau ni ngoma gan huwez lala pasipo kuisikia au huwez maliza week bila kuisikia

Mimi ni ngoma ya BABY JOSEPH MADAHA AMOURE hiyo ngoma ni noma sana aisee

LONDON BABY
 
UZI UMECHACHA HUU HAUKUPASHWA ASUBUHI
 
Hakuna nyimbo ambayo siwezi kulala bila kuisikiliza, ila kuna nyimbo nazopenda kuzisikiliza mara kwa mara.

Ya kwanza ni Dear Mama wa 2pac Shakuru.Napapenda zaidi anaposema.

"When I sick as a little kid to make me happy there's no limit to the things you did.And Eventhough I act so crazy I got thank the Lord that you made me.And I uplishet the way you rise me and all the extra love that you gave me"
 
Mama umeondoka....nyuma imekuja zawadiiiiii.....nabaki nalia........


Daah kila nikipatacho mkononi sisiti kusema angekuwa mama ningemgawia.


Viva dogo aslay
 
Reactions: m2u
Mama umeondoka....nyuma imekuja zawadiiiiii.....nabaki nalia........


Daah kila nikipatacho mkononi sisiti kusema angekuwa mama ningemgawia.


Viva dogo aslay
Ngoma tamu sana hiyo
 
I have always loved you by Enrique Iglesias
 
Tupac shakur - dear mama.
Big notorious - BIG POPPA
Jay z - holy grail
Migos - bad x boujee
Jay z - on to the next one
Wiz kid - ojuelegba
Nasty C - hell naw
Cassper nvyovest - doc shebeleza
Davido - IF
Ali kiba - Aje.
Hii list kama vile upo kichwan mwangu
 
It must have been love- roxete..

Huwa napenda kusikiliza kwa seasons,. Kuna kipindi silali bila kusikiliza nyimbo za gospel, muda mwingine love songs... Etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…