Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

Tena upata wachangiaji wengi sana
amaa kweli kuna siri kubwa sana kati ya hivi vikojoleo. yani unakuta mtu saa 12 asubuhi anaingia tu jf anatype papuchi [emoji23][emoji23] zinakuja nyuzi kibao haijiulizi hii ya lini anaaza kupalramia na kucoment tu, mwisho uzi unafufuka kutoka makaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
amaa kweli kuna siri kubwa sana kati ya hivi vikojoleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nguvu ya kiroho.
Ndo maana wataalamu,pia dini,pia mila ukataza watu kukojoleana kwanza kabla ya ndoa Ili kuepuka kuoa garasa,utamu uzuia kuona mabaya ya mtu, kwenye ndoa utamu unaisha yanabakia mazoea,ndo hapo unapogundua tabia ya mwenzio sio kifuatacho kuachana.
Sababu mlivutwa na muunganiko wa utelezi na sio muunganiko wa maadili ya ndoa
 
hii kweli kabisa mkuu ,mimi kuna demu nilikua simuelewi kabisa namchukulia kama msela ,yeye akawa ananielewa mnoo mpka ananitamkia ,basi si nikasema ngoja niloweke mara moja tu.aah si nikajikuta nabadili gia angani nanza kujiona nampenda, demu alinipenda mno yani ilifika mahali yeye ndo anaomba game na sio mimi, yule mwanamke aliniteka sana sasa sema alipokuja kuharibu alipoanza kuzungumzia swala la mimi kumuoa hapohapo nikapiga chini ,sikuruhusu kabisa hisia ziniendeshe maana nilijua kabisa huyu nimependea kitobo tu. sema sometimes nammiss sana kwakweli [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni demu wa kihaya?
 
Ukute pia hujasimam vizuri kiuchumi na anakupea na shida zako hivyo hivyo aloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…