Sasa chakuchekesha nini Kimbweka???:focus:
Mhhhh haya ntakupa somo ya jinsi yakumuelewa mwanamke!!:redfaces:
habari wanajamii forum.ni kweli wanaume hatueleweki kabisaa?ila kwa ulimwengu wa sasa hakuna cha mwanaume wala mwanamke wote ni watata
Hasa mimi nimefanya nini?
Umejaribu ukashindwa?Nikaribishe chai basi
Umejaribu ukashindwa?Nikaribishe chai basi
ueleweke!!!!! mbona mgumu kuelewa?:A S-coffee:
Kwani watoto wa watu hawatakiwi kueleweka??Kujibu swali..nataka kuwaelewa ili nijue jinsi yaku-deal na nyie!Hapo mkuu umeongea kilichokuwa akilini mwangu,maana hata mimi nashindwa kumuelewa huyu mama mtoa mada,labda tu nimuulize,we mama wewe unataka kuwaelewa watoto wa watu ili uwafanyeje?
Kwani watoto wa watu hawatakiwi kueleweka??Kujibu swali..nataka kuwaelewa ili nijue jinsi yaku-deal na nyie!
Kuna tatiso hapo babaake?[/QUOTE]
Mi naona tatizo lipo tena kubwa tu,maana unataka kuwaelewa, utawaelewa vipi na tuko mabilioni,nachoweza kusema ni wewe ujitahidi kumuelewa yule uliyenaye kwa sasa, hao wengine hawakuhusu na nakuomba uachane nao maana waweza kujikuta katika matatizo mengine ukitafuta kuwaelewa hawa viumbe..