njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye.
Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga deal na hakuna kitu wanapenda kama timuatimua na ajiriajiri ili wapige ten pasenti, ila jueni tu mnaumiza mashabiki siyo poa kabisa
Mmeona uwanja ulivyokuwa mtupu? kesho mtaona jinsi utopolo watakavyojaza , washabiki wamekata tamaa sana sana tu, niko Mwanza mtaani huku wana simba hata hiyo mechi ya nusu fainali kirumba watakuwa wa kuhesabu
Hiyo nusu fainali labda miujiza itokee ila utopwinyo wanatuchapa