Ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ambayo "inaliwa" na wenye madaraka!

Ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ambayo "inaliwa" na wenye madaraka!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa!

Mtu atajifanya, atahubiri uzalendo kwa vile anaogpa rioting kutoka kwa walalahoi wasije wakawa class conscious wakawadhuru 'wakubwa'. Hiyo ndiyo theory ya political economy of socialism and capitalism!
 
Mkuu Retired viongozi wetu wamekuwa vipofu kwa wale wanaokula nchi, wamekuwa viziwi kwa wanaopiga kelele.

Wananchi waliowapa madaraka viongozi wao wameonekana siyo kitu tena machoni pa watawala.....

Viongozi waliopo hakuna mwenye ujasiri atakaye kemea ulagi wowote katika nchi yetu kwa sababu walio wengi kama siyo wote ni wanufaika na mfumo.
 
Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa!

Mtu atajifanya, atahubiri uzalendo kwa vile anaogpa rioting kutoka kwa walalahoi wasije wakawa class conscious wakawadhuru 'wakubwa'. Hiyo ndiyo theory ya political economy of socialism and capitalism!
Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniondoa katika huu upumbavu wa kujiona mzalendo kumbe nchi inaliwa na viongozi wapumbavu wa CCM na watoto wao.

Hakika nilikuwa mjinga sana.
 
Uzalendo Kamwe Haushikamani Na Ujinga,,Umaskini Na Maradhi.
 
Back
Top Bottom