Ni ngumu sana watu wote kupenda kitu kimoja

Ni ngumu sana watu wote kupenda kitu kimoja

gekaboy

Member
Joined
Nov 27, 2021
Posts
49
Reaction score
106
Hakuna watu wanaona ni wataalamu wa hizi kazi na wao ndio wanajua kama washabiki wa dizasta vina, bob Marley, wasikilizaji wa Hiphop, wapenzi wa movie za kijasusi.

Wanaonaga wengne kama mazuzu fuln hv wasio jielew kauli zao sasa

Mimi siwezi msikiliza muimba kwaya(Lucky Dube)

Movie za kitoto hizo siwezi angalia (e.g Merlin
Nyimbo za wabana pia hizo azina contents yyte (Bongo fleva)

Kwnn tusiheshimu kila kitu ambacho mwenzako anapenda, kuliko kukidharau na kuona akifai chako ndio kinafaaa

Et wadau watu wa hvyo ushakutana nao na unahisi nn tatizo la watu kudharau hobbies za watu?
 
Mimi siwezi kuangalia bongo movie, sio mfatiliaji wa bongo flava, ligi kuu ya Tanzania na Africa.
 
Back
Top Bottom