Habari zenu wanajf leo ninataka kueleshwa vizuri,unajua ndani ya jamii inapotokea harufu mbaya utashuhudia watu wakisema "aah! nimesikia harufu mbaya" lakini kiuhalisia kabisa mtu hawezi kutumia sikio kutambua harufu mbaya bali hio ni kazi ya pua
sasa je vipi ni sahihi kusema " nimesikia harufu" au "nimenusa harufu"