Ni nini chanzo cha haya matatizo na tiba yake?

Kipis

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2011
Posts
501
Reaction score
79
Sina uhakika kama wote au baadhi huwatokea haya matatizo hususani kwa wajawazito.

kuvimba miguu kwa kinamama wajawazito ni dalili ya nini! chanzo chake na tiba yake ni nini hasa? Pia baadhi yao kama si wote kutokwa na mabaka tumboni mfano wa utangotango ambao husababisha maumivu sehemu zilizo athiriwa na tatizo hilo. Maoni yenu tafadhali.
 
Kuvimba miguu kutokana na mimba hiyo inatokea kwa baadhi ya wanawake na anapokwisha jifungua hayo matatizo huwa yanapotea. Na kuhusu mambaka tumboni kwa mwanamke mfano kama utango tango hiyo ni dalili ya maradhi ya ngozi itabidi huyo mwenye hayo mabaka akamuone daktari upesi kabla ya mtatizo kuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…