Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni kwasababu hawana mipango na sera zinazogusa mahitaji muhimu ya kila siku ya wanainchi?
Ni kwasababu ya ubinafsi, uchu na tamaa za vyeo na madaraka walionao, kiasi kwamba hawana muda wala haja ya kupambania changamoto za wananchi bali, wana nguvu sana kupambania masuala yanayohusu pesa kwaajili ya matumizi yao na familia zao, na nafasi za uongozi kwa maslahi yao binafsi?
Ni kwasababu ya kutokua na umoja na kutoaminiana kwao, wao wenyewe kama upinzani, pamoja na kua na chuki binafsi na uhasama wa kihistoria miongoni mwao?
Ni kwasababu ya historia ya usaliti miongoni mwao kitu ambacho kimetia doa uaminifu wao kwa wananchi?
Maana ni wazi kwamba ni vigumu mno kuunadi upinzani nchini Tanzania ukaeleweka kwa wanainchi, kwasababu hauminiki na wala haukubaliki kabisa kwa wanainchi. Wengi wao wanaonekana kama vibaka na matapeli wa kisiasa huko field.
Unadhani ni kwanini wananchi wa Tanzania, hawautaki, hawapendi, hawaumini wala hawafuatilii upinzani nchini nchini Tanazania?🐒
Mungu Ibariki Tanzania