Habari wana JF kuna rafiki yangu kaowa wiki mbili zilizopita ila tatizo linalomsumbua na kumkwaza ni kua mke wake anapata maumivu makali sana wakati wa tendo na kibaya zaidi ni kua hafurahii tendo kabisa kwani wanapojamiiana mke wake hulalamika sana kua anakua na muashi wa ajabu.
Kama ikitokea kutokumzuiya au kumfungulia feni akaelekeza ktk ile sehemu anaweza kujikuna hadi ukamuonea imani au ukazani kua itabanduka
Suali ni kua
1 Tatizo hili linasababishwa na nn?
2 Tiba yake ni nn?
Najisikia huruma sana kwao wanataka raha na furaha na kujenga ndoa yao ila kwao ni maumivu matupu