Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Habari Yenu wakuu
Kuuliza sio ujinga licha yakuwa maswali yakijinga pia yapo.
Sitaki kuwa mjuaji katika hili nataka kuwa "open minded" .
Tunaposema kuwa nchi kutangazwa kimataifa, faida zake uwa ni zipi.
Tumekuwa na watu/taasis mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti ambao wamekua wakilitangaza taifa letu kimataifa, Ila mpaka leo sijuagi faida yake.
Kwako mdau unajua nini kuhusiana na hili.
Tuchukulie hawa watu kwa mfano wanaleta faida gani katika kuitangaza nchi uko mbali
1. SAMATA
2.DIAMOND
3. MWAKINYO
4..ATHLETICS( WANALIAZA)
N.k
Uandishi tuvumiliane tu, amna namna.