Ni nini hasa kinachochea ulawiti na ubakaji mtaani..

Ni nini hasa kinachochea ulawiti na ubakaji mtaani..

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni aibu na fedhea sana...

Inakera, inachefua na kusikitisha sana..

Inaamsha hasira sana, kuona au kuskia mtoto, ndugu, jamaa au rafiki wa familia amekumbwa na uchafu, unyama au uharibifu huu..

uharibifu na uchafu huu unachochewa na mambo gani hasa ili kama miongoni mwa wanadamu humu JF kujikinga na kuepuka mazingira yatakayopelekea kutumbukia kwenye unyama na uhalifu huu mbaya sana....

licha ya kwamba ikithibitika pasina shaka umehusika katika uhalifu huu, hukumu yake ni zaidi ya miaka30..

ama hii hukumu bado ni ndogo?
 
Kwa maendo ya kijijini ni upwiru au ukame. Mjini sababu zikategemea mtaa hadi mta
 
Mtoto Hana hisia wala nin,ni maumivu tu na kupelekea mtoto kupata vidonda na kuharibika kisaikolojia.Sijui sisi wanaume tuna shida gani,ila nasikia wanaume wenye hizo kesi huko magerezani wameanza kuhasiwa kwa chemical hata wawo hajitambui.
 
Back
Top Bottom