Ni nini hasa kinachochunguzwa ktk ugaidi wa juzi?

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:

1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?

2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?

3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena?

4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana kweupe haukuwa ugaidi ama laa?
 
Kwanini vijana wa Kiislamu wanahamasika zaidi na ugaidi? Hili ni swali muhimu zaidi na specific, ukimtazama Hamza kupitia mazungumzo ya wanaomfahamu ni Mwenye kusifiwa kwa upole, heshima na kujihusisha na kusaidia, ambalo hili limo kwenye uislamu, upande wa pili juu ya tukio alilolifanya si ajabu kabisa kwa kijana wa Kiislamu mwenye hamasa kulifanya(ni sawa na teja wa kujidunga sindano za madawa kumchoma mtu kisu pamoja kuwa huenda akawa na Tabia ya upole n. K)

Kiufupi mtoa mada wapaswa kuelewa hayo maswali yako si ya Msingi sana kipindi hichi taifa linapambana kule msumbiji, muhimu zaidi ni kuhakikisha kutokuwepo vichocheo(dhulma) ambayo huenda ikaamsha vijana wengine wa kiislam kuingia huko, usawa, usawa, usawa. Hawa ni vijana wa humu humu Tz tunaishi nao, ukitazama ile video ya Tarehe 24 ni wazi mzuka wa mauji ulikwisha mpanda so alichoangalia tu ni namna ya kutekeleza tukio na kweli akatekeleza na ujumbe wake ukafika
 
Mkuu hizo ni taaluma za watu
Ni kweli , maana nimesikia sehem wanasema wafan

Nakubaliana na mambo mengi uliyoandika lakini pia tujue magaidi wote hua na tabia ya upole na huruma ili kuuficha malengo yao.

Na pia magaidi wengi ni wenye kipato kizuri tu, kitu kinacho ondoa dhana ya dhuluma kwamba ndo linapelekea ugaidi.
Ugaidi ni itikadi inayòfundishwa, ni elimu yenye imani kali inayozaa extremist miongoni mwa magaidi.

Swali langu hasa ni kuwa nini kinachochunguzwa wakati majibu yapo wazi tayari. Ya kwamba tendo lile ni ugaidi ni nini hasa wanachunguza?
 
Vipi hili nailokutana nalo mitandaoni?

Maana nakutana na Habari kua kijana HAMZA ni miongoni mwa watoto wa mzee marehemu aliyekua mmiliki wa migodi midogo.

Mzee huyu aliwarithisha migodi hiyo wanae, HAMZA akiwa miongoni mwao.

Sasa inasemekana kabla ya tukio lililozaniwa kua la ugaidi kuna kisasi ndani yake. Askari polisi ambao HAMZA mwenyewe ndio anawafahamu inasemekana walihusika katika utapeli wa madini ya uzani mkubwa tu aliyotoka nayo mgodini. Alijaribu kufuatilia vituo vya polisi ikawa anazungushwa kiasi cha kukata tamaa, huku kamanda mkuu wa Jeshi la polisi kanda maalum ya dar akihusishwa na sakata hilo.

Hili lilipelekea psychological conflicts kwenye kichwa cha kijana na kuamua kulipiza kisasi kwa kufanya mauaji yaliyolenga kuua askari polisi tu.

N.B: NIMEYAYOA MITANDAONI SINA UTHIBITISHO WA MADAI HAYA. Na kama ni kweli basi kijana alifanya makosa kujichukulia maamuzi ambayo kimsingi yamemuumiza yeye na familia yake. Angefuata njia za haki kwani Jasho la mtu hua haliendi bure.
 
Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:

1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?

2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?

3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena?

4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana kweupe haukuwa ugaidi ama laa?
Wanaangalia Kama alikuwa na michepuko waishughulikie
 
Huyu cha kuchunguza sanasana wachunguze ni kweli mtanzania alikuwa. Wachunguze shule ya chekechea ya msingi na sekondary kasoma wapi na walim wake kweli walimfaham na matokeo yake NECTA. Wengine siyo watz wanakuja kuzuga zuga na shimo la kuchimba madini ama wanachama wa chama cha siasa.
 
Vipi hili nailokutana nalo mitandaoni?

Maana nakutana na Habari kua kijana HAMZA ni miongoni mwa watoto wa mzee marehemu aliyekua mmiliki wa migodi midogo.

Mzee huyu aliwarithisha migodi hiyo wanae, HAMZA akiwa miongoni mwao.

Sasa inasemekana kabla ya tukio lililozaniwa kua la ugaidi kuna kisasi ndani yake. Askari polisi ambao HAMZA mwenyewe ndio anawafahamu inasemekana walihusika katika utapeli wa madini ya uzani mkubwa tu aliyotoka nayo mgodini. Alijaribu kufuatilia vituo vya polisi ikawa anazungushwa kiasi cha kukata tamaa, huku kamanda mkuu wa Jeshi la polisi kanda maalum ya dar akihusishwa na sakata hilo.

Hili lilipelekea psychological conflicts kwenye kichwa cha kijana na kuamua kulipiza kisasi kwa kufanya mauaji yaliyolenga kuua askari polisi tu.

N.B: NIMEYAYOA MITANDAONI SINA UTHIBITISHO WA MADAI HAYA. Na kama ni kweli basi kijana alifanya makosa kujichukulia maamuzi ambayo kimsingi yamemuumiza yeye na familia yake. Angefuata njia za haki kwani Jasho la mtu hua haliendi bure.
Hizi ni distorting info.
Gaidi ndivyo walivyo. Hutoka na mabomu yao uraiani na kwenda kujilipua mbele ya police jeshi ama ubalozi. Gaidi hajilipui kokote kule anakuwa na mission na malengo.

Ndiyo maana 1998 magaidi walijilipua ubalozi wa marekani hawakwenda kujilipua kariakoo ama feri ama posta mpya.
Yule gaidi kuwalenga police tu ndo itikadi yao walivyo ndo wanavyofundishwa na kuwa brainwashed hivyo. Siyo kwasababu ya dhuluma.

Gaidi anafundishwa asiue ndugu zake wa itikadi yake ndiyo maana hawezi shambulia hovyohovyo wananchi. Hata pale kenya kwenye supermarket gaidi walikuwa wanachambua.
Kwa yule gaidi kushambulia police na kuacha raia ni jambo la kawaida ktk imani wanayofundishwa magaidi.
 
Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:

1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?

2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?

3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena?

4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana kweupe haukuwa ugaidi ama laa?
maneno ya "kijana wa Allah na yule aliyenenewa"
 
Ni utetezi wa ajabu kusema kilichotokea mwaka 1998 ubalozini si ugaidi sababu ni dhuluma alilenga tu mabeberu ubalozini. Eti kwamba angekuwa gaidi angetega hayo mabomu uraiani kariako ama posta.

Hiyo ni hoja isiyo na minofu. Sababu gaidi ana imani fulani kichwani mwake aliyokuwa brainwashed nayo. Ana attack kulingana na imani yake na maelekezo ya wakuu wake.
 
Hii clip yenye sauti inayosemekana ni ya Hamza yenye ujumbe kwa Siro, inaondoa hadithi ya kutapeliwa madini.
 
Kama tayari una majibu yako, ulitaka maoni ya watu ya nini. MkamaP, wewe utakuwa mmoja wa polisi waliomdhulumu huyu shujaa. Damu yake itakuwa juu ya vichwa vyenu nyie na watoto wenu wanaokula pesa za damu ya Hamza. Padri mtoro aka IGP Sirro pia. Kilangila.
 
Mlima mananasi wa kakubiro hauwezi jua taaruma za wenzio.
 
Magaidi wa CCM hasira zao zinakuwa mbaya sana wanalana wao kwa wao.
 
Mlima mananasi wa kakubiro hauwezi jua taaruma za wenzio.
Ni kweli, lakini wanachunguza nini kwamba jamaa si gaidi ama ni gaidi? Yani kama unamchunguza Osama kujua ni gaidi ama si gaidi labda alikuwa na visa na wamaerekani tu?? Nini hasa wanachochunguza kama ni ugaidi jamaa ni gaidi hakuna swali hadi hapo.
 
Back
Top Bottom