Kwanini vijana wa Kiislamu wanahamasika zaidi na ugaidi? Hili ni swali muhimu zaidi na specific, ukimtazama Hamza kupitia mazungumzo ya wanaomfahamu ni Mwenye kusifiwa kwa upole, heshima na kujihusisha na kusaidia, ambalo hili limo kwenye uislamu, upande wa pili juu ya tukio alilolifanya si ajabu kabisa kwa kijana wa Kiislamu mwenye hamasa kulifanya(ni sawa na teja wa kujidunga sindano za madawa kumchoma mtu kisu pamoja kuwa huenda akawa na Tabia ya upole n. K)Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:
1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?
2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?
3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena?
4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana kweupe haukuwa ugaidi ama laa?
Ni kweli , maana nimesikia sehem wanasema wafanMkuu hizo ni taaluma za watu
Kwanini vijana wa Kiislamu wanahamasika zaidi na ugaidi? Hili ni swali muhimu zaidi na specific, ukimtazama Hamza kupitia mazungumzo ya wanaomfahamu ni Mwenye kusifiwa kwa upole, heshima na kujihusisha na kusaidia, ambalo hili limo kwenye uislamu, upande wa pili juu ya tukio alilolifanya si ajabu kabisa kwa kijana wa Kiislamu mwenye hamasa kulifanya(ni sawa na teja wa kujidunga sindano za madawa kumchoma mtu kisu pamoja kuwa huenda akawa na Tabia ya upole n. K)
Kiufupi mtoa mada wapaswa kuelewa hayo maswali yako si ya Msingi sana kipindi hichi taifa linapambana kule msumbiji, muhimu zaidi ni kuhakikisha kutokuwepo vichocheo(dhulma) ambayo huenda ikaamsha vijana wengine wa kiislam kuingia huko, usawa, usawa, usawa. Hawa ni vijana wa humu humu Tz tunaishi nao, ukitazama ile video ya Tarehe 24 ni wazi mzuka wa mauji ulikwisha mpanda so alichoangalia tu ni namna ya kutekeleza tukio na kweli akatekeleza na ujumbe wake ukafika
Wanaangalia Kama alikuwa na michepuko waishughulikieNini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:
1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?
2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?
3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena?
4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana kweupe haukuwa ugaidi ama laa?
Huyu cha kuchunguza sanasana wachunguze ni kweli mtanzania alikuwa. Wachunguze shule ya chekechea ya msingi na sekondary kasoma wapi na walim wake kweli walimfaham na matokeo yake NECTA. Wengine siyo watz wanakuja kuzuga zuga na shimo la kuchimba madini ama wanachama wa chama cha siasa.Wanaangalia Kama alikuwa na michepuko waishughulikie
Hizi ni distorting info.Vipi hili nailokutana nalo mitandaoni?
Maana nakutana na Habari kua kijana HAMZA ni miongoni mwa watoto wa mzee marehemu aliyekua mmiliki wa migodi midogo.
Mzee huyu aliwarithisha migodi hiyo wanae, HAMZA akiwa miongoni mwao.
Sasa inasemekana kabla ya tukio lililozaniwa kua la ugaidi kuna kisasi ndani yake. Askari polisi ambao HAMZA mwenyewe ndio anawafahamu inasemekana walihusika katika utapeli wa madini ya uzani mkubwa tu aliyotoka nayo mgodini. Alijaribu kufuatilia vituo vya polisi ikawa anazungushwa kiasi cha kukata tamaa, huku kamanda mkuu wa Jeshi la polisi kanda maalum ya dar akihusishwa na sakata hilo.
Hili lilipelekea psychological conflicts kwenye kichwa cha kijana na kuamua kulipiza kisasi kwa kufanya mauaji yaliyolenga kuua askari polisi tu.
N.B: NIMEYAYOA MITANDAONI SINA UTHIBITISHO WA MADAI HAYA. Na kama ni kweli basi kijana alifanya makosa kujichukulia maamuzi ambayo kimsingi yamemuumiza yeye na familia yake. Angefuata njia za haki kwani Jasho la mtu hua haliendi bure.
maneno ya "kijana wa Allah na yule aliyenenewa"Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa:
1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule?
2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi?
3. Ni je kuchunguza uwezekano wa ugaidi ule kutokea tena?
4. Ni je kuchunguza ule ugaidi wa mchana kweupe haukuwa ugaidi ama laa?
Ni kweli, lakini wanachunguza nini kwamba jamaa si gaidi ama ni gaidi? Yani kama unamchunguza Osama kujua ni gaidi ama si gaidi labda alikuwa na visa na wamaerekani tu?? Nini hasa wanachochunguza kama ni ugaidi jamaa ni gaidi hakuna swali hadi hapo.Mlima mananasi wa kakubiro hauwezi jua taaruma za wenzio.