Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Habarini wana JF,

Naomba nichokoze maada, je nini kiwe tafsiri ya kuachiwa huru kwa F. Mbowe. Je ni

1. Win-win situation?
2. Win-loose situation?
3. Loose-win situation?
5. Loose-loose situation?

Na je, ni tafsiri ipi ioanishishwe sambamba na mtazamo wa nyakati za sasa, za kati na za mbeleni?

Na zinaweza kuhuishwa vipi na nyanja za kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiimani, kiutamaduni? Na kivipi?

Karibu kwa fikra na mawazo pevu
 
Kwangu mimi ninaona ni win-win situation.
Kwa sababu;
Kitendo cha kumshtaki na kumfunga Mbowe kilikuwa kinapoteza muda na rasimali za Chadema, hivyo kumuachia huru Mbowe kumeipa Chadema hauweni kubwa. Upande wa pili kwa Samia ni kuwa kesi dhidi ya Mbowe ilikuwa ni dosari kubwa kuliko zote kidemokrasia dhidi ya serikali yake kitaifa na kimataifa hivyo kumuachia Mbowe itapelekea Mama Samia na serikali yake kupata ahueni kubwa sana.
 
Wanaccm tushausoma mchezo.safari hii Kura zinaibiwa kwa kiwango Cha kutisha kuanzia za maoni Hadi za urais.

Poleni Sana chadema.
 
3. Loose-win situation?

Hapo wanampunguza nguvu ili wao wapate tobo
 
Back
Top Bottom