kikwete angeendelea kuwa Rais, Tanzania kulikuwa na miji mingi sana, kigamboni kule ilitaka kuwa kama dubai, kawe ndo Jobarg, ile njia ya alihasani mwinyi mauyoga yalikuwa mengi yakaja kusizi ghafla. tunamwombea Mama akaze kamba na aombe ushauri kwa kina Kikwete ili tujenge tena nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania. speaking from a honest heart.Kiukweli wanakawe watamkumbuka sana JK kwa mradi huu. Muonekano wake ni mzuri sana. Cha kushangaza toka mzee mzima Magu aingie mradi umebaki magofu sasa.
Jambo la kujiuliza: Je, mradi huu ulikuwepo kibajeti au kulikua na ufisadi ndani yake? Kwanini umesimama toka 2016?
Mwenye kujua chochote itapendeza zaidi akitujuza.
Huu hapa kupitia NHC
View attachment 1542344View attachment 1542345