kwa taarifa za juu juu nilizopata jana kwa secreatry wa pale ofisini kwao..wale wenye shida za photo na birth certificates waandike barua kuelezea tatizo lao na waatach izo picha na kutuma via EMS......wanadai maelezo zaidi subirini watayaweka kwenye mtandao