ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Wakluu, pengine unaweza kuamka mwili wote unauma kama dalili zote za malaria. Ukienda kupima hakuna kitu. Wakati mwingine kichwa kinakuwa kizito kama ubongo umejam vile, unasikia kizunguzungu kikali sana na wakati fulani hupendi kusikia mtu akikusemesha,..ukisikia kelele mapigo ya moyo yanabadilika ghafla na kwenda kasi, pengine inapelekea uwe na hasira za mara kwa mara.. unaweza kukaa unaingiwa na hofu na pengine kushindwa hata kuendesha gari kwa woga!.
Kwa mwenye utaalamu wa hali hii tafadhali!.
Kwa mwenye utaalamu wa hali hii tafadhali!.