Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga picha weka hapo ndiyo watu wataelewa.Mnisaidie, ni kitu gani hiki na kazi yake ni nini. Ni chekundu kiko kwenye gari za kijapan.
Ukipata matatizo barabarani hususan muda wa usiku hicho kifaa unakiwasha kinatoa mwanga mkali na kukirusha juu kuomba msaada wasamalia wakuone kwa urahisi
YeapUkipata matatizo barabarani hususan muda wa usiku hicho kifaa unakiwasha kinatoa mwanga mkali na kukirusha juu kuomba msaada wasamalia wakuone kwa urahisi
Mdogo wangu alikiwasha akashindwa kukizima akakitupa kwenye maji kikazima.Nimekiwasha. Kina mfuniko ambao ni kama kiberiti. Kimewaka kusua mifuniko yake. Kimewaka moto mwekundu. Moto wake hauunguzi majani.
Baada ya kukiwasha, nimeshindwa kukizima. Kimewaka hadi kimeisha