Ni nini huduma ya kwanza kwa mtu aliyemwagiwa tindikali?

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Wanajf kutokana na matukio mbalimbali Tanzania nimeona niulize hili swali ili wajuzi watuelimishe tujue namna ya kufanya maana hatujii matukio haya yatakoma lini. Je nifanyeje kumpa huduma ya kwanza aliyemwagiwa tindikali?
 
Mpake Asali maeneo yote aliyoathirika, eneo lililoathirika lisigusanishwe na nguo, Muwahishe Hospital hii kitu Mbaya sana tuombe sana Mungu atuepushe!
 
Tunahitaji kusikia Serikali inatoa adhabu kali sana ya mtu anayemwagia mtu mwingine tindikali,haya matukio si ya kufumbia macho hata kidogo!
 
Kisayansi asidi ukiichanganya na base unapata chumvi na maji. So theoretically basi dawa ya tindikali ni base au alkali. Katika nature alkali ni kama majivu. Kwahiyo iwapo mtu amekumwagia tindikali, jitahidi upate majivu na kujimwagia sehemu zote ilipogusa. Lakini hakikisha HAUFUTI maeneo hayo, yamwage tu majivu na uyaache bila kusugua. Ukisugua kuna hatari kuwa "utamenya" ngozi.

Nadharia nyingine ni kwamba maji yana uwezo wa kudilute concentration ya tindikali, kwahiyo ukijimwagia maji unapunguza molarity ya tindikali na hivyo kupunguza madhara inayoweza kukuletea. Ili maji yawe na manufaa yanapaswa kutumika ASAP.

Iwao tindika imeingia kwenye macho usitumie kitu kingine zaidi ya maji safi. Pia usifikiche macho.
 
Ww mwenyewe upo hararini kumwagiwa tindi "watch out",kuna mchangiaji ameshauri vzr sana bhana Icredible wakati umefika wa kutembea na BASE/ALKALI ili ngoma ikipuliziwa uji-dilute mwenyewe. Jihadhari Sheikh.
 
inashauriwa kutumia maji pindi umwagiwapo tindikali.... hivyo tembea na maji wakati wote
 
dah mimi niko mjimkongwe asante kuanzia kesho natembea na maji na majivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…