Hili jukwaa ndio linaongoza kwa mambo yasiyo na msingi. Humu ndio hasa kuna Great Feelers. Saa zote mnawaza ngono na kusalitiana. Mahusiano hayamaanishi mambo ya kuoana na kuachana, kusalitiana, kutongozana na upuuzi mwingine. Hata malezi ya watoto, uhusiano na majirani zetu n.k
Haya maswali ya kwa nini fulani anatoka nje ni maswali ya watu dhaifu. Kutoka nje kwa mtu sio sbb general mpk uitafutie jawabu kwenye makundi ya watu. Kwa kifupi maisha ya watu wanaoongozwa na hisia hayanaga mijadala mingine zaidi ya namna hii. Hebu twendeni tukajadili mustakabali wa nchi yetu kwenye majukwaa ya maana. Sio kukalia mada za kike kike tu hapa
-Mademu wa kichaga hawakatiki viuno (wakatike viuno sijui wamepata ajali)
-Mimi huyu kaka simuelewi (kama humuelewi si umuombe akufanyie revision)
-Mara ooh mwezi huu sijatongozwa
Kazi kujitoingozesha tu. Kazi mambo ya kimwili tuuu, "*y'xz¨~i/x'* zenu.