Ni nini kazi za wanausalama wa taifa

Ni nini kazi za wanausalama wa taifa

Status
Not open for further replies.

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
Salaam alekum wana JF, tafadhali mnijuze kazi za usalama wa Taifa (T) na pia Mkurugenzi wake ni nani na je amefanikwa kwa kiasi gani yeye na timu yake katika kuzuia matukio mbalimbali ambayo yangeweza kuhatarisha utulivu na amani katika taifa hili.
 
Salaam alekum wana JF,
tafadhali mnijuze kazi za usalama wa Taifa (T) na pia Mkurugenzi wake ni
nani na je amefanikwa kwa kiasi gani yeye na timu yake katika kuzuia
matukio mbalimbali ambayo yangeweza kuhatarisha utulivu na amani katika
taifa hili.

kuhusu kazi ya usalama wa taifa, soma sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1996. kuhusu matukio waliyozuia ingawa sina ushahidi lakini nina hakika ni mengi na kwa sababu kazi zao wanazifanya kwa siri kubwa ndo maana hatujui
 
Salaam alekum wana JF,
tafadhali mnijuze kazi za usalama wa Taifa (T) na pia Mkurugenzi wake ni
nani na je amefanikwa kwa kiasi gani yeye na timu yake katika kuzuia
matukio mbalimbali ambayo yangeweza kuhatarisha utulivu na amani katika
taifa hili.

halafu kama hutakuwa mvivu wa kusoma, pitia jamii intelligence mada hii ilijadiliwa kwa urefu na mapana. unless unambie kuwa una jambo unataka kutuambia kuhusu idara hiyo
 
Tafuta sheria ya usalama wataifa ujue kazi yao ukitakujua zaidi mtafute mkuu wao unatuuliza swali kama hili utapata majibu gani kwanza hao usalama wa taifa hata hatuwajui halafu kazi zao tutazijuaje.
 
Kazi yao ni kulinda usalama wa Taifa kwa kubaini matukio na kushauri namna yakzuia au kushiriki moja kwa moja ktk kuzuia kabla hayajatokea, mkuu wake anaitwa Rashid Othman (RO)?
Hawajafanikiwa ndio maana watu wanang'olewa meno bila ganzi, wasomali wanaingia kirahisi nchini, twiga wanaibiwa na magaidi yamefanikiwa kulipua kanisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom