Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wakuu, habari?
Natumaini bado mnaendelea kumalizia sikukuu kwa mapochopocho ya hapa na pale ili mradi kufurahisha nafsi pamoja na kujipongeza kwa uhai ulionao mpaka siku ya leo.
Inawezekana katika kusherehekea huku, kuna wengine wametumia gharama mbalimbali za kifedha, laki kwa malaki au milioni kwa mamilioni, lakini yote ni kufurahia maisha; kwa sababu tunaishi mara moja, na muda wa kutumia ni sasa.
Tuje kwenye mada; kuumbwa kwa mwanaume na mwanamke katika hii dunia kulikuwa na sababu kuu ya hawa wahusika kupeana faraja, katika harakati za hapa duniani.
Na mahusiano yakiwa imara; upelekea kukua kwa uchumi, furaha ya watu kuongezeka, na hatimaye kujiona mtu spesho katika hii dunia.
Changamoto zinazoharibu mahusiano kwa sasa; ni watu kugeuza mahusiano kama fursa ya kiuchumi, na si kuangalia utu tena. Hii imepelekea watu kukata tamaa, wengine kujinyonga, wengine wanazalishwa na kuachwa, wengine wanajibadili jinsia, wengine leo yuko na huyu na kesho yuko na yule n.k
Sijajua, ni nini chanzo cha hayo yote; ambacho tutakiita kisababishi cha mapinduzi katika mahusiano.
Nyakati hizi, kama kijana hana kipato asahau kabisa mambo ya kimahusiano, lasivyo akafanye mahusiano na mifugo, iwe mbuzi , kuku, ng'ombe n.k
Sasa wakuu, mnahisi ni nini kifanyike ili mahusiano yaweze kurejea kama kipindi kile cha uumbaji, kati ya Adam na Hawa?