Ni nini kiliwafanya watusi wasishike mapanga na kuwauwa wahutu mwaka 1994?

Ni nini kiliwafanya watusi wasishike mapanga na kuwauwa wahutu mwaka 1994?

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,342
Reaction score
3,885
Ukifuatilia sana juu ya mauaji ya kimbari huko Rwanda mwaka 1994 utaambiwa waliouwawa wengi ni watusi. Hata kwenye move nyingi zilizochezwa watusi ndio walionekana kuwawa sana.

Kwa nini watusi walikuwa wapole na wasishike mapanga na kuwauwa wahutu?
 
Muulize Kagamee ana jibu kwa hilo!!!!!!!
 
kwa sababu unatakiwa kuamini kuwa watutsi ni malaika, watu wapole sana, na wahutu ni natural killers tu. Ndio maana ingawa takwimu zinapinga, unatakiwa kuamini waliouawa ni watutsi tu.
 
Uliyesoma tuambie japo kwa kifup
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Acha uvivu jamaa yangu kila siku tunazungumzia hilhili
wewe na nitonye mnaturudisha nyuma
Google au Wikipedia kuna habari kibao kuhusu Watutsi walivyoitungua Ndege iliyombeba Habyarimana akitokea arusha akiwa na Ndadaye (wote Wahutu) hapo Watutsi walishajua kosa lao kwa hiyo ulitaka waendeleze tena moto wakati hiyo sio Nchi yao. Fuatilia vitabu na Historia ya Watutsi ni wageni waliotoka mashariki ya kati wakaingia Ethiopia (Bahima) ndipo wakawakuta Watwa na Wahutu (Wabantu)
 
Last edited by a moderator:
Waliamua kufuata mfano wa Mandela,kusamehe na kutolipiza kisasi

watutsi ndio walioanza mashambulizi toka mwaka 1990 mpaka 1994, wahutu walichoka pale ndege ya rais wao aliyekubali kumaliza matatizo kwa kugawana madaraka na akina kagame kutunguliwa ndio wakachinja chinja hata watutsi wasiohusika (historia inayoitwa genocide). Baada ya hapo jeshi la watutsi likiongozwa na kagame waliteka nchi yote na mpaka sasa wameshikilia nchi ambayo wao wako chini ya asilimia 15, wakiongoza wahutu zaidi ya asilimia 85 ya watu wote.
Serikali ya wahutu iliyopinduliwa ilikimbilia DRC ambako leo inaitwa FDLR. Ndio hawa ambao JK alimshauri kagame kuongea nao kwani 'ile' vita haikuisha proper, ilikatizwa tu na genocide. Lakini nadhani unajua Kagame alijibu nini. Waliopinduliwa (ambao ndio walikuwa serikali) wako tayari kwa mazungumzo, aliyepindua (ambaye alikuwa ndio muasi) hayuko tayari kwa mazungumzo. Naomba kwa heshima na taadhima nikupinge. Waliosamehe hapo ni wahutu sio watutsi!
 
rudi kwenye vitabu vya historia pia kabla hujasoma hicho kitabu angalia nan kaandika, lakini kwa ufahamu wangu pia mauaji yale yalikuwa ni ya kuviziana uki muwahi mwenzako lazima akipate cha moto lakini baada ya mauaji kwa kuwa srikali iliyo ingia madarakani ilikuwa ni watusi lazima tathimini zao zionyeshe kuwa watusi ndio wengi walio uawa lakini ukweli ni kwamba hata wahutu wengi pia waliuliwa
 
Acha uvivu jamaa yangu kila siku tunazungumzia hilhili
wewe na nitonye mnaturudisha nyuma
Google au Wikipedia kuna habari kibao kuhusu Watutsi walivyoitungua Ndege iliyombeba Habyarimana akitokea arusha akiwa na Ndadaye (wote Wahutu) hapo Watutsi walishajua kosa lao kwa hiyo ulitaka waendeleze tena moto wakati hiyo sio Nchi yao. Fuatilia vitabu na Historia ya Watutsi ni wageni waliotoka mashariki ya kati wakaingia Ethiopia (Bahima) ndipo wakawakuta Watwa na Wahutu (Wabantu)

Ungetoa ufafanuzi wako kwa njia ya kuelimisha na sio kukashifu wenzako. Weka linki ya thread ya humu jf inayozungumzia mauaji yao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom