Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Salaam wadau wa kandanda.
Ajax amsterdam ni moja kati vilabu maarufu na vyenye mafanikio makubwa ulimwenguni.
Ni klabu ambayo imefanikiwa kuwatoa magwiji wengi wa soka kama johan cruyf, van basten na rijkaard kwa uchache ikiwa na academy bora sana ulaya na ulimwenguni.
Misimu mitatu au tano nyuma ilifanya vizuri sana kwenye ligi ya ndani na ile michuano ya UEFA nadhani sote tunaikumbuka ile AJAX ya akina De jong na David Neres chini ya ERIK TEN HAG walivyosumbua Ulaya.
ila msimu huu hali sio mzuri kwao wakiwa nafasi ya 17 kati ya timu 18 wakiwa wamecheza michezo 7 wameshinda 1 sare 2 na kupoteza 4.
Kinachoshangaza mbona imekuwa gafla hivi wakati msimu uliopita yani 2022/2023 walimaliza nafasi ya 3 na msimu wa nyuma yake yani 2021/2022 walikuwa mabingwa.
SHIDA NI NINI PALE AJAX.