Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mtu akitekenywa anashtuka halafu anacheka? and why inakuwa ni baadhi ya sehemu za mwili tu kama vile mbavuni, makwapani na kwenye unyayo. Na kwanini mtu akijitekenya mwenyewe hacheki? ni mechanism gani inasababisha hali hizo katika mwili..
Kwa sababu hizo sehemu ulizo taja ni nyeti na zina chaji nyingi sana.....sasa ukizigusa kwa ghafla unakuwa kama umepiga shoti ya umeme matokeo yake mtu anavibrate......na kutoa mlio wa utamu ambao unakuja kwa njia ya mdomo kama KICHEKO.....Vile vile hizo chaji zina uhusiano wa karibu na GUNDI...kwa wanaume...kwa wanawake hizo chaji zina uhusiano wa karibu na GENYE...................By Dr KikulachoChako.....................
Kwanini mkuu hujauelewa uchambuzi wangu yakinifu....???wewe ni yule Dr aliyepewa uprofesa wa kichina
Kwa sababu hizo sehemu ulizo taja ni nyeti na zina chaji nyingi sana.....sasa ukizigusa kwa ghafla unakuwa kama umepiga shoti ya umeme matokeo yake mtu anavibrate......na kutoa mlio wa utamu ambao unakuja kwa njia ya mdomo kama KICHEKO.....Vile vile hizo chaji zina uhusiano wa karibu na GUNDI...kwa wanaume...kwa wanawake hizo chaji zina uhusiano wa karibu na GENYE...................By Dr KikulachoChako.....................
Nashukuru kwa kuuelewa upembuzi wangu yakinifu....Docta kikulacho umetisha,,,,