Ni nini kinasababisha mtu akitekenywa anashtuka na kucheka??

Annuity

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
338
Reaction score
198
Kwanini mtu akitekenywa anashtuka halafu anacheka? and why inakuwa ni baadhi ya sehemu za mwili tu kama vile mbavuni, makwapani na kwenye unyayo. Na kwanini mtu akijitekenya mwenyewe hacheki? ni mechanism gani inasababisha hali hizo katika mwili..
 
I think your among great thinkers in the world. Keep
 
Uumbaji wa Mungu ni wa ajabu na unasababu zake. Kama vile ukitumia kidole husikii kitu, lakini ukitumia 1200, utaitwa Baby!
 
Kwa sababu hizo sehemu ulizo taja ni nyeti na zina chaji nyingi sana.....sasa ukizigusa kwa ghafla unakuwa kama umepiga shoti ya umeme matokeo yake mtu anavibrate......na kutoa mlio wa utamu ambao unakuja kwa njia ya mdomo kama KICHEKO.....Vile vile hizo chaji zina uhusiano wa karibu na GUNDI...kwa wanaume...kwa wanawake hizo chaji zina uhusiano wa karibu na GENYE...................By Dr KikulachoChako.....................
 
wewe ni yule Dr aliyepewa uprofesa wa kichina
 
basi mi ntakuwa na matatizo kuna wakati komenti za humu zinanichekesha kuliko mtu akinitekenya
 
hahaha
unajua jbu lake lipo kibaolojia zaidi xo tunahitaj doktori wa milango ya fahamu hasa ngoz na atueleze
 
Docta kikulacho umetisha,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…