msamalia wa ilembula
New Member
- Feb 16, 2013
- 2
- 1
Ndugu wasomaji wa sehemu hii, nimekuwa nikifuatilia sana na kwa muda mrefu, HIVI NI KWA NINI WANAUME tulio wengi tumekuwa tukishinikizwa kuwa na mahusiano na wasichana wasiokuwa kwenye ndoa? utagundua kuwa ukiwa hujaoa wasichana wa aina hii hawajitokezi mara tu ukioa hata wale waliokususa wanarudi kukutaka, ukimwambia tayari ninamke utasikia nipo tayari tuwe wawili najiuliza kwanini? Hawa mabinti ndio wanasababisha tunatelekeza familia zetu ni tatizo kwa kweli, naombeni sana mabinti watuhurumie.