Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

Mr Everything

Member
Joined
Mar 7, 2024
Posts
5
Reaction score
1
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
 
Wewe unataka kuwa nani huko mbeleni?
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Nenda chuo
 
Naombeni ushauri katika hil
Piga got omba mungu akujulishe wito wako ,wazo litakalo kuja moyo cha kusoma kasome hatakama utaona hakina maana kwa sasa lakin amini haitakua rahis hiyo shule tangu utakapoamua kumkabidhi mungu njia zako
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo

Unaweza kusoma course ya phamacy
1. Diploma in pharmacy (st. John dodoma)
2. Certificate in Phamacy
3. Basic certificate in pharmaceutical dispensing
4. Medical attendant (M.A)
5. Diploma in sociology ( udom, sauti, n.k
6. Diploma in health management system ( cedha arusha
7. Diploma in health information system ( Chuo cedha arusha
 
IMG-20240606-WA0014.jpg
 
Syllabus za vyuo vya Tanzania sio mchezo. Ndio maana Wakenya wanatupiga darizi huko nje ya nchi inapokuja kwenye skilled labours.

Hasa hiyo Diploma in Sociology ndio usisubutu. Yaani hiyo utatembea na vyeti vyako mpaka Viatu vinaenda upande na kazi hupati, labda uwe na connection.
 
Hongera, hii ni nzuri kuchangia mudau kama wewe
 
Syllabus za vyuo vya Tanzania sio mchezo. Ndio maana Wakenya wanatupiga darizi huko nje ya nchi inapokuja kwenye skilled labours.

Hasa hiyo Diploma in Sociology ndio usisubutu. Yaani hiyo utatembea na vyeti vyako mpaka Viatu vinaenda upande na kazi hupati, labda uwe na connection.
Ila degree in sociology fresh..?
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Either Diploma of pharmacy, Clinical Medicine, Nursing & midwife, BBA - accounting & Finance, Computer/ICT, Diploma in Science education -Chemistry & Biology /Chemistry & Mathematic or Diploma in Law.
 
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Soma CBG apo imekubali unde degree mapema kwa diploma kozi za afya apo utasoma labda pharmacy izo zingne zitakukataa auna physics
 
Either Diploma of pharmacy, Clinical Medicine, BBA - accounting & Finance, Diploma in Science education -Chemistry & Biology /Chemistry & Mathematic or Diploma in Law.
Clinical medicine , hana physics
 
Back
Top Bottom