Mr Everything
Member
- Mar 7, 2024
- 5
- 1
Wewe unataka kuwa nani huko mbeleni?Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Mimi napenda sana kuwa na kazi katika kada ya AfyaWewe unataka kuwa nani huko mbeleni?
Nenda chuoMimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Piga got omba mungu akujulishe wito wako ,wazo litakalo kuja moyo cha kusoma kasome hatakama utaona hakina maana kwa sasa lakin amini haitakua rahis hiyo shule tangu utakapoamua kumkabidhi mungu njia zakoMimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hil
Hilo haliwezekani kwa sababu haujasoma masomo ya sayansiMimi napenda sana kuwa na kazi katika kada ya Afya
Lakini sijasoma Physics peke yakeHilo haliwezekani kwa sababu haujasoma masomo ya sayansi
Hilo ndo litakalo kufanya usisome kozi za afya mana n lazima uwe umesoma science labda ukasomee kilimo au mifugo ndo hawaihitaji sn physicsLakini sijasoma Physics peke yake
Kwahiyo kipi nikisomea kitakuwa na tija zaidiHilo ndo litakalo kufanya usisome kozi za afya mana n lazima uwe umesoma science labda ukasomee kilimo au mifugo ndo hawaihitaji sn physics
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Kwanini hukusoma physics?Mimi napenda sana kuwa na kazi katika kada ya Afya
Syllabus za vyuo vya Tanzania sio mchezo. Ndio maana Wakenya wanatupiga darizi huko nje ya nchi inapokuja kwenye skilled labours.Unaweza kusoma course ya phamacy
1. Diploma in pharmacy (st. John dodoma)
2. Certificate in Phamacy
3. Basic certificate in pharmaceutical dispensing
4. Medical attendant (M.A)
5. Diploma in sociology ( udom, sauti, n.k
6. Diploma in health management system ( cedha arusha
7. Diploma in health information system ( Chuo cedha arusha
Ila degree in sociology fresh..?Syllabus za vyuo vya Tanzania sio mchezo. Ndio maana Wakenya wanatupiga darizi huko nje ya nchi inapokuja kwenye skilled labours.
Hasa hiyo Diploma in Sociology ndio usisubutu. Yaani hiyo utatembea na vyeti vyako mpaka Viatu vinaenda upande na kazi hupati, labda uwe na connection.
Either Diploma of pharmacy, Clinical Medicine, Nursing & midwife, BBA - accounting & Finance, Computer/ICT, Diploma in Science education -Chemistry & Biology /Chemistry & Mathematic or Diploma in Law.Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Soma CBG apo imekubali unde degree mapema kwa diploma kozi za afya apo utasoma labda pharmacy izo zingne zitakukataa auna physicsMimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college)
Naombeni ushauri katika hilo
Clinical medicine , hana physicsEither Diploma of pharmacy, Clinical Medicine, BBA - accounting & Finance, Diploma in Science education -Chemistry & Biology /Chemistry & Mathematic or Diploma in Law.