Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.A Devil woman š¹
Uhalifu wote ambao Serikali yake imeufanya kwa raia (wanaodai haki au wanaomkosoa vikali yeye) uko ndani ya maana ya hiyo phrase ya ākuchapa mikwajuā.Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Sahihi kabisa. Huyu wa sasa ameamua kuyafunua makucha yake aliyoyaficha kwa miaka mingi. Siku zote tabia halisi ya mwanadamu huonekana pale anaposhika pesa nyingi au madaraka makubwa.Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Maana yake ni hii:Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Maana yake utekaji, ufiraji, mauaji..Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally
Walidai mambo mengiā¦..Wenyewe wanadai ni picha za Gaza hizo.
Hawwa wooote "wamechapwa mikwaju" na Samia Suluhu Hassan?
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Kumbe Mnafuga Watu Siku Hizi..Kauli Za Kifedhuli Mnoo..Jitahidi Sana Usiwe Na Kauli Za Kipuuzi Namna Hii Tena Getlomeni..Na Kama Mnawachukulia Raia Kama Wafugwaji Bila Shaka Ndio Maana Mnauwaua Tu.yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,
haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Gentleman,Kumbe Mnafuga Watu Siku Hizi..Kauli Za Kifedhuli Mnoo..Jitahidi Sana Usiwe Na Kauli Za Kipuuzi Namna Hii Tena Getlomeni..Na Kama Mnawachukulia Raia Kama Wafugwaji Bila Shaka Ndio Maana Mnauwaua Tu.