HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,178
- 2,131
Punguza Upuuzi Kwenye Utu,,Heshimu Utu,,Jali Utu Jetlomeni....Gentleman,
zingatia maelezo muhimu ya kweli na yamsingi kwenye koment yangu, itakusaidia sana,
ukilete kiburi na kushupaza shingo kwa ubishi useless usilaumu sikukushauri.
be disciplined plz
utu ni jambo la maana sana kwa kila mwanadabu,Punguza Upuuzi Kwenye Utu,,Heshimu Utu,,Jali Utu Jetlomeni....
acha upotoshaji plz madamAnamaanisha “Vamia, Teka, Shoot na kisha poteza”
Huu utawala hautakuja kusahulika Tanganyika..!!
Kanywe dawa zako huku sio Lumumbaacha upotoshaji plz madam
sijapenda unavyowapiga kamba vijana na wazee wa JF,Kanywe dawa zako huku sio Lumumba
Wewe umejitoa nilivyokupiga kamba mpaka ukanihusudu? 😹😹😹sijapenda unavyowapiga kamba vijana na wazee wa JF,
na wenyewe wasivyojielewa wapo kama minyumbu inafuata mkumbo tu kukubali kamba zako
Kwa hiyo mnategemea kukaa madarakani kwa kuuwa watu milele? Hata kama utapa dunia yoote lakini iko siku moja utaondoka tu.yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,
haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Kapewa hiyo ruhusa na nani?Ni kama alivyo fanya MO29.
Kuteka, kutesa, kuua, kulawiti, kufunga na vingine vingi vinavyofanania na hivyo.
Kwa sababu yeye ni mkuu wa nchi.
Lakini angekua mzazi wako anakuambia hivyo ungekua ni viboko na kazi ngumu.
Gentleman,Kwa hiyo mnategemea kukaa madarakani kwa kuuwa watu milele? Hata kama utapa dunia yoote lakini iko siku moja utaondoka tu.
Kwa akili yako ndogo unafikiri kila anayepinga humu ndani sio Mwana CCM?Gentleman,
hakuna mbadala wala dalili za kua na mbadala wa serikali sikivu ya CCM nchi hii.
hizo ramli nonsnse mkatishane na kudanganyana na washirikina wenzenu huko na sio humu jukwaani
sasa ndugu akili kubwa mihemko nonsense ya nini sasa?Kwa akili yako ndogo unafikiri kila anayepinga humu ndani sio Mwana CCM?
Kabisa madaraka ni kitu kibaya sana Samia hacheki, yeye ni kukasirika tu mda woote,hata Magufuli alikuwa na katabasam flani hivi, na kufanya utani inapobidi,wakulaumiwa ni hii mijityu ya Tanganyika inayokubali kubuluzwa na kina Kombo.Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Katiba inamruhusu.Kapewa hiyo ruhusa na nani?
Jitafakari Sasa Jetlomeni...,Je Ni Adabu Kuita Watu Wafugwaji...??utu ni jambo la maana sana kwa kila mwanadabu,
lakini jambo muhimu sana mpaka mwanadamu afikie hali ya kujali utu ni kua na adabu,
kama huna adabu, huwezi kujali utu wa mwingine na kwahivyo ni lazima uadabishwe
Wewe ni maiti; hapana mzoga wa nguruwe ambao nguruwe wengine wanaushambulia kwa kuula.yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,
haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Pamoja na "umzoga" wako; nakusihi sana umfikishie taarifa hiyo uliyoandika hapo Samia Mhalifu. Hili linamnyemelea sana. Pengine ukimfikishia taarifa hiyo, atapata fursa ya kufanya uamzi haraka wa chaguo la kutimkia kwa wajomba zenu Oman haraka, kabla mikono ya waTanzania haijamfikia.ukilete kiburi na kushupaza shingo kwa ubishi useless usilaumu sikukushauri.
Not sure why you were hoodwinked that easily. Fazafaka alionekana mapema sana kwamba ascension yake ilikuwa mkenge mkubwa kwa Taifa. Speaker Ndugai was her first victim in those early days!Ukimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Kwa hivyo kwa 'akili' yake kwamba akifanya hv ndo wananchi watamkubali??1. KUUA
2. KUTEKA
3..KUTESA
YAANI "KUKUKU"