Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Mifano michache ya mikwaju...Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Tatizo ni ukimya wa WaTanganyika...Not sure why you were hoodwinked that easily. Fazafaka alionekana mapema sana kwamba ascension yake ilikuwa mkenge mkubwa kwa Taifa. Speaker Ndugai was her first victim in those early days!
Yule bi+ch alitumia sehemu kubwa ya kipindi chake cha kwanza kujisafishia njia ya kuingia kipindi cha pili. She was ruthless then and so has she remained. Uliona kilichotokea in 2025. Alijiteua mwenyewe and ultimately she ran against herself!
Piga Risasi, baka, UaKuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Hapana, siyo "kumkubali"Kwa hivyo kwa 'akili' yake kwamba akifanya hv ndo wananchi watamkubali??
Mbona alifanya hayo yoote na bado kura wakamnyima?!.
No.kwamba ascension yake ilikuwa mkenge mkubwa kwa Taifa. Speaker Ndugai was her first victim in those early days!
Mkwaju ni aina ya mtiKuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?✍🏿Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Tatizo kubwa kuwa na watu kama wewe katika nchi hii unafikiri unamiliki uhuru na mawazo ya watu, tuko huru kufikiri na kuona kipi kizuri kipi kibaya. Ndani ya uwanja au nje ya uwanja tunapinga uchawa na kujipendekeza hili kupata utwuzi.sasa ndugu akili kubwa mihemko nonsense ya nini sasa?
si utumie akili yako kubwa kujadili masuala kuliko kumbwelambwela na kujipiga kifua jukwaani?
kwani kau CCM au kutokua CCM kunakuondolea uhuru na haki yako ya maoni, ndugu akili kubwa?
Kuna muda najitikisa nikidhani niko ndotoniUkimkumbuka yule Samia wa wiki za mwanzo kabisa baada ya kifo cha Magufuli; kamwe huwezi kuamini kuwa ndiye huyu aliyepo sasa.
Inashangaza sana.
Je katiba imesema hayo maneno unayosema ?? Kuna mahali imetaka wachapwe watu viboko?? Je unaweza vunja katika katika kuilinda katiba? Sikujui hunijui ila nauhakika wewe ni kilaza shuleniyeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,
haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Wazanzibar wasipewe tena nchi ni wauajiAnamaanisha “Vamia, Teka, Shoot na kisha poteza”
Huu utawala hautakuja kusahulika Tanganyika..!!
Na mwisho wake utakuwa wa aibu kubwa sana.Samia yupo ktk hatua za mwisho kibri kimepanda kichwani!I have a feeling she will soon fall!
Mwanamke katili kabisa ktk historia ya dunia!
Hii ni bahati mbaya sana, kuwa na mfano mbovu kama Samia Suluhu Hassan kuwa mwakilishi wa eneo lote la Zanzibar.Wazanzibar wasipewe tena nchi ni wauaji
Mkongojo?Mkwaju ni aina ya mti
Hapana.Tatizo ni ukimya wa WaTanganyika...