"Mkuu wa nchi" huruhusiwa kufanya hayo maovu uliyoyataja hapo?Kwa sababu yeye ni mkuu wa nchi.
Hivi vitendo hufanywa na "wakuu wa nchi" gani ?Ni kama alivyo fanya MO29.
Kuteka, kutesa, kuua, kulawiti, kufunga na vingine vingi vinavyofanania na hivyo
gentleman ninawaza kama una maanisha unachokisema Kweli, au unaongea unafiki huku ukijua wazi huenda kuna maana nyingine?yeyote atakae kosa utii na asie na adabu kwa katiba na sheria za nchi atachapwa viboko ipasavyo bila huruma wala aibu,
haiwezekani kufuga vijana watovu wa nidhamu nchini
Malawi"Mkuu wa nchi" huruhusiwa kufanya hayo maovu uliyoyataja hapo?
Hivi unafikiri sawasawa, au na wewe hazitoshi kichwani kama alivyo yeye?
Hivi vitendo hufanywa na "wakuu wa nchi" gani ?
Kwa hiyo "Malawi" ndicho kigezo tunachotakiwa kukifuata Tanzania!Malawi
Gentleman,gentleman ninawaza kama una maanisha unachokisema Kweli, au unaongea unafiki huku ukijua wazi huenda kuna maana nyingine?
basi sawa ila ni kauli tata ambayo inamfanya mtu kujenga picha na tafsiri yake kumbe ingeweza kueekezwa kwa maneno ya moja kwa mojaGentleman,
ebu jitokeze na walau ukose adabu hata inaposhushwa au kupandishwa bendera ya taifa tu, halafu tuone utachapwa kimzaha au kwa kumaanisha
Mi nijuavyo zanzibar mikwaju ni bakora ile fimbo ya kuchapia kama shule hivyo ni lisahiki tuu katymia hajamaanisha vingineKuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?
Lakini si mifano ya "watoto watundu" kama akina Mdude Nyagali na wengi wengine tunajuwa yaliyowatokea?Mi nijuavyo zanzibar mikwaju ni bakora ile fimbo ya kuchapia kama shule hivyo ni lisahiki tuu katymia hajamaanisha vingine
Pengine ndo hivyo sasa wakati anaua watu alitumia kigezo gaani!!?Kwa hiyo "Malawi" ndicho kigezo tunachotakiwa kukifuata Tanzania!
utata hutokea zaidi kwa wafuata mkumbo ambo wengi wao vichwa vyao vinawaza nonsense tupubasi sawa ila ni kauli tata ambayo inamfanya mtu kujenga picha na tafsiri yake kumbe ingeweza kueekezwa kwa maneno ya moja kwa moja
Ufisadi na uhujumu umeiacha1. KUUA
2. KUTEKA
3..KUTESA
YAANI "KUKUKU"
her days are numbered !A Devil woman 👹
Malawi hawajawahi kuwa na mauaji ya aina aliyofanya Samia. Sijui kwa nini umewataja hapa.Pengine ndo hivyo sasa wakati anaua watu alitumia kigezo gaani!!?
Katiba!? Au mtizamo binafsi!!?
Kulipa kisasi kwa tukio la Mzee mkapa kipindi kile!!?
Au kushauriwa vibaya!!?
I sincerely believe so too.her days are numbered !
Watu wa hivyo ni wabaya sana! Ngoja tuone hatma yake itakuwaje!Hapana.
WaTanganyika si wakimya; ila tatizo ni kukosa njia za kuunganisha visauti vyao kwa pamoja visikikike kwa ukubwa zaidi.
Nakuhakikishia, pakitokea leo hii njia ya kuunganisha kwa pamoja manyanyaso yanayowakabili mioyoni mwao na kuyaelekeza kwenye nguvu ya kukataa kunyanyaswa, hakuna jeshi linaloweza kuizuia nguvu hiyo kuwafagilia mbali watu duni kabisa kama Samia na wengine walio nyuma yake.
Sasa hivi tupo katika hali ya juu kabisa ya hiyo nguvu kulipuka.