Ni nini matumizi ya namba kamili katika maisha yetu ya kilasiku?

Ni nini matumizi ya namba kamili katika maisha yetu ya kilasiku?

binafsi namba naona ni kama lugha ya idadi ili uweze kutambua vitu vipo vingapi au umbali kutoka mahali fulani n.k inabidi utumie namba ili kujua idadi,ujumla wa kitu fulani.. so binafsi naona ni kama lugha ya kimahesabu.
 
Waulize waimbaji wa TOT watakwambia maana! Maana wanajua hadi jinsi ya kuisoma namba!
 
Back
Top Bottom