M Mrs minel Member Joined Sep 3, 2014 Posts 65 Reaction score 54 Nov 26, 2015 #1 Naombeni msaada wa majibu kwa swali hilo hapo juu?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jan 23, 2017 #2 Swali tata kutatanisha utata mtatanishi
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jan 23, 2017 #3 binafsi namba naona ni kama lugha ya idadi ili uweze kutambua vitu vipo vingapi au umbali kutoka mahali fulani n.k inabidi utumie namba ili kujua idadi,ujumla wa kitu fulani.. so binafsi naona ni kama lugha ya kimahesabu.
binafsi namba naona ni kama lugha ya idadi ili uweze kutambua vitu vipo vingapi au umbali kutoka mahali fulani n.k inabidi utumie namba ili kujua idadi,ujumla wa kitu fulani.. so binafsi naona ni kama lugha ya kimahesabu.
Truth Teller JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 1,623 Reaction score 2,892 Jan 23, 2017 #4 Waulize waimbaji wa TOT watakwambia maana! Maana wanajua hadi jinsi ya kuisoma namba!
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Jan 24, 2017 #5 Bujibuji said: Swali tata kutatanisha utata mtatanishi Click to expand... ni kama vile kupinduka mpinduko ulio pinda pinda
Bujibuji said: Swali tata kutatanisha utata mtatanishi Click to expand... ni kama vile kupinduka mpinduko ulio pinda pinda