Naamini tumekuwa weledi katika historia ya lugha ya kiswahili, Je, nini mchango wa lugha hiyo katika suala la umoja wa kitaifa ? Hususan katika muda wa miaka hamsini ya uhuru wa Watanganyika na Watanzania kwa ujumla?
?Kimeunganisha (ni kiungo muhimu cha watu wa kaida zote)
?Kiungo muhimu cha mawasiliano baina ya watu mfano ktk Biashara
?Lugha ya kufundishia
?Kitambulishi cha utamaduni wa mswahili na mazingira yake