Hatujawekewa nafasi ya kupokea chuki, tumepewa nafasi ya kuchagua kati ya upendo na chuki. Ninaamini katika kitabu cha mwanzo, MUNGU alipomuumba mwanadamu na kumuweka katika bustani ya amani.Kwanini hatukuumbwa na upendo tu maana ndiyo unasisitizwa hata kwenye vitabu vyake...
Kulikuwa na haja gani tukawekewa nafasi ya kupokea chuki, hila na fitina wakati vitu vyote hivyo havimpendezi Mungu
Kwanini atuumbe na mapungufu ya kujitakia makusudi ili baadae aje kutuchoma moto.Hukutengenezewa kama upungufu, ni zawadi, kwamba uwe na free will. changamoto tu ni kuwa will power haina mipaka, na unaweza ukafanya jambo hata kinyume na aliyekupa huo uwezo wa kuchagua. Hasa ndo kinachokutesa.
Hasira ya Mungu ipo kwasababu uliumbwa ukiwa mkamilifu. Kwa hiyo mapungufu uliyonayo ni ya kujitakia tu, ni kama unavyolea mtoto wako alaf afanye kitu tofauti na unavyo mwelekeza utakasirika
Mkuu, mimi nilizaliwa kimwili na mama yangu, lakini roho yangu ilitoka kwa Mungu wako. Huu ndivyo ilivyo mchakato wa asili wa uumbaji wa mwanadamu, ukiondoa uumbaji wa mwanzo wa Adamu na Eva.Wewe uliumbwa au Mama yako alikuzaa?
Kajificha naongea nae wapi? Ingekuwa anaonekana tungemuita hapa atupe maelezo lakini unaona kila mtu kachanganyikiwa kivyakeUmeongea nae akakwambia hivyo?
Unathibitishaje una roho?Mkuu, mimi nilizaliwa kimwili na mama yangu, lakini roho yangu ilitoka kwa Mungu wako. Huu ndivyo ilivyo mchakato wa asili wa uumbaji wa mwanadamu, ukiondoa uumbaji wa mwanzo wa Adamu na Eva.
Baby umeanza kuiva sasa tena umechemka haswa baby wangu...🤣Tumekuja kuteseka na kutenda dhambi tukifa akatuchome moto, ndo starehe yake
Mungu hawezi kumbuumba binadamu anayeweza kujua uzuri bila ubaya kuwepo??Mungu mawazo yake yapo juu sana kuliko sisi kuna wakati tunajitqhidi kuelewa lakini ni ngumu sana
Nilipoanza kuchunguza mambo sana kwa akili hizi za kibinadamu nilipata ufahama kwamba ili ujue uzuri lazima na ubaya uwepo hakuna namna yoyote ya kujua uzuri ila ubaya kuwepo hapo ndipo tunajua jua au nuru ni njema kwa sababu giza lipo,
Hata Mungu vilevile uwezi kujua yupo kama upande wa pili haupo so itoshe kusema Mungu alipenda tuwe na chaguo la kufata
Wewe si unakula kwa sababu unaona njaa,Mungu hawezi kumbuumba binadamu anayeweza kujua uzuri bila ubaya kuwepo??
Wakati mwingine nakula bila hata kuhisi njaa.Wewe si unakula kwa sababu unaona njaa,
Mkuu hivi huko PEPONI watakao ingia huko watakua na UHURU wa kufanya DHAMBI kama ilivyokua hapa Duniani?Hatujawekewa nafasi ya kupokea chuki, tumepewa nafasi ya kuchagua kati ya upendo na chuki. Ninaamini katika kitabu cha mwanzo, MUNGU alipomuumba mwanadamu na kumuweka katika bustani ya amani.
Ni baada ya binadamu kujua kwamba Kuna mabaya na mema tayari alikuwa uchi, mema na mabaya yalipokuwa mbele zake, alifanya yale yaliyompendeza. Baya hupandwa moyoni kwasababu ya madhaifu na kwasababu ya asili zetu.
Wapo ambao walizaliwa Ili waende motoni. Utajiuliza kwanini MUNGU aliruhusu zipotee, Ni kwasababu hizo Roho MUNGU alijua haziwezi kubadilika kwasababu ya asili zao usaliti. Mfano mzuri ni shetani, ni kiumbe aliyeumbwa katika Hali ya kipekee lakini mwishowe alikuwa msaliti.
Unaweza kujiuliza MUNGU hakujuwa kwamba shetani atakuja kuwa msaliti? Na Kama alijua kwanini alimuumba? Kwanini MUNGU alifanya hayo yote? MUNGU pekee ndiye anayejua.
Binadamu alichagua kuishi Kwa uhuru, Binadamu aliamua kubadilika kwasababu ya tamaa zake. MUNGU habadiliki na Wala Sheria yake habadiliki.
Umepewa uhuru utachagua uutumieje!
HAITOSHI kabisaaHoja nyeti sana lakini mmoja amejibu kwa uelewa wake.Lakini je wale wanaosema hakuna Mungu,wewe wao wenyewe haitoshi kuwa ni alama ya uwepo wake?
Umeongea kwa uchungu sanaTumekuja kuteseka na kutenda dhambi tukifa akatuchome moto, ndo starehe yake
Ndiyo kazi tuliyo nayo ya kusoma na kwa upande Mungu ameshatekeleza kwa kuweka ishara na kuleta ManabiiWatu wengi “wanaamini” Mungu kwasababu ya VITISHO eti wanaogopa watachomwa moto wa milele Jehanamu 😂
Mind you kuna Miungu zaidi ya 1000 na kila mmoja ana lwake
Mimi sitaki kuamini nataka KUMJUA kama yupo na ni WAJIBU wake kuhakikisha watu wote tunamjua
Kitu kina evolve vipi kutoka non life to life? Principle of biogenesis inasema life arises from pre-existing life.evolution.................................... hakuna cha Mungu hapa it is purely science..................
Sasa wewe kwa akili yako unafikiri baada ya kuumbwa tulistahili kuwa wapi?Sawa hiyo ni sababu ya kuumbwa na je ni ipi sababu ya kutuleta hapa duniani?
Mbinguni ni sehemu takatifu, hakuna dhambiMkuu hivi huko PEPONI watakao ingia huko watakua na UHURU wa kufanya DHAMBI kama ilivyokua hapa Duniani?