Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

Mweh
 
Swali lako kwa wasioamini mungu ni batili kwa sababu wao hawaamini unapitishwa duniani na yoyote na wala hawaamini wametolewa popote huko walikokuwa.
 
Kwani wewe una upungufu gan ambao una uhakika hauwezi kuushinda?

Je ni watu wote tunao huo?
(Ingekuwa hivyo basi ingekuwa technical error za uumbaji),
lakin kile kinachokusumbua wewe mwenzako anakiweza na vice versa, hii ina maana hata wewe ungeamua ungeweza tu kama hao binadamu wenzako.
 
evolution.................................... hakuna cha Mungu hapa it is purely science..................
Kupitia hiyo science itueleze ni kwanini tumekuja duniani tena kuishi maisha ya muda mfupi sana
Pia kama ipo sehemu tunaelekea kwanini kusingetumika njia nyingine tofauti na kifo?
 
Kwanini nihangaike kuushinda wakati ndivyo nilivyoumbwa? Mateso yote ya kazi gani? Tungeumbwa perfect hapa tungekuwa tunasifu na kuabudu kwa raha zote. Na hata hizo amri kumi za mungu zisingekuwepo maana tusingekuwa na uwezo wa kuzitenda kwa jinsi tulivyoumbwa kikamilifu.
 
Upo hapa kwa naturally chance tu , na wewe ndio upo hapa kuyapa maisha maana .
Hakuna mahali kwingine kwenye kuleta maana zaidi ya hapa duniani kwenye mateso na karaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…