Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

Binadamu hana free will
 
Kupitia hiyo science itueleze ni kwanini tumekuja duniani tena kuishi maisha ya muda mfupi sana
Pia kama ipo sehemu tunaelekea kwanini kusingetumika njia nyingine tofauti na kifo?
Nadhani kifo kipo ili kupata nafasi ya binadamu wengine kuzaliwa. Imagine watu wangekuwa hawafi tungebanana sana
 
Mafundisho nilifuñdishwa MUNGU ametuumba tumjue,tumpende, tumtumikie mwisho tufike Mbinguni.
 
Hili ni fumbo la aina gani mkuu?

Vitabu vya Mungu vinaeleza kwamba binadamu wapo duniani..je ni uongo?

Science nayo imethibitisha kwamba binadamu wako Duniani kupitia theories nyingi...je tusiamini hizi hoja?
 
Kuhangaika ni kujitakia tu.
"Wanao ongozwa na Roho hawako chini ya sheria" amri zitakuhusu kama huna mipaka.

Wanyama na ndege hawana akili kama zako, ila wana maisha, na wanajua mipaka yao. Sasa wewe mwenye akili mingi unapata shida gan?
 
Shida ipo kwa jinsi alivyoniumba yeye. Mimi najiona sawa lakini sasa amri ni nyingi usifanye hivi usifanye kile
 
Kwanini asingetoa njia rahisi ya kumjua na kumuabudu kama anatupenda viumbe wake...kulikuwa na sababu gani kutupa shida zote hizi ambazo zingine zinapelekea kutomtii yeye mwenyewe?
 
Kwanini asingetoa njia rahisi ya kumjua na kumuabudu kama anatupenda viumbe wake...kulikuwa na sababu gani kutupa shida zote hizi ambazo zingine zinapelekea kutomtii yeye mwenyewe?
 
Maisha ya dunia ni mtihani kwa wanaadamu wale watakao faulu watapata zawadi nono,
na wale watakaoeli watapokea zawadi ngumu kumeza.
 
Na inawezekana sisi ni virusi tupo ndani ya tumbo la mnyama mkubwa , na akimeza dawa tunakufa na kupungua kwetu ni nafuu kwake🤔🤔
Duuuh hii ni ngumu sana🤔🤔🤔
 
Mafundisho nilifuñdishwa MUNGU ametuumba tumjue,tumpende, tumtumikie mwisho tufike Mbinguni.
asingetuumba nini kingetokea? huko mbinguni ni yeye anataka twende iweje iwe lazima
 
Kwani mungu yeye angepata hasara gani kama asingetuumba? Na kwanini atuumbe viumbe dhaifu kiasi hiki halafu eti ndio tumeumbwa kwa "sura na mfano wake?". Hapana kwakweli, haiingii akilini hata kidogo.
Inafikirisha sana hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…