Ninachoamini Mimi MUNGU ni superior one, ni zaidi ya Emperor, ni zaidi ya king, kwahyo ni lazima nimtumikie, ni lazima nimpende kwasababu he own everything precious like eternal life.Yaani mungu mwenye uwezo wote anataka tumtumikie? Tumpende? Ili iweje?
Eti tupo ndotoni. Man, wariz dhisMaisha ni fumbo.
Maisha ya duniani yalikuwa ni zawadi na sio adhabu, changamoto ni binadamu kutaka kuishi against nature, hapo ndipo mateso yanapo anzia.
Swali: Unauhakika gani kwamba upo duniani?
Umeshawahi kuota ndoto na ukajiona upo huko ndotoni? What if na hapa upo ndotoni na pengine ukifa hapa ndo unaamka kutoka usingizi uliokuwapo?
Kulikuwa na haja gani tupewe udhaifu ni kwamba hakujua kama utatupelekea kwenye kutenda dhambi?Na huo udhaifu ndo dhambi yenyewe adhabu yake ni kuchomwa moto wa jehanam
Je unachokiona kiko sawa, umewahi kufikiri kinaweza kuwa na madhara kiasi gani kwa wengine?Shida ipo kwa jinsi alivyoniumba yeye. Mimi najiona sawa lakini sasa amri ni nyingi usifanye hivi usifanye kile
Wewe Demi umenishinda tabia😀Tumekuja kuteseka na kutenda dhambi tukifa akatuchome moto, ndo starehe yake
Mnawaza mambo ambayo hayapo. Hamna kiumbe chenye matatizo akili kiasi cha kuanza kuchoma moto watu waliokufa tayariTushateseka tayari na dhambi tayari kwahiyo tunangoja kuuliwa 😢
Dah leo watu mna maoni mazito🤣Na inawezekana sisi ni virusi tupo ndani ya tumbo la mnyama mkubwa , na akimeza dawa tunakufa na kupungua kwetu ni nafuu kwake🤔🤔
Yani vistori vya uongo tu na kila mtu kaaminiTena sio kuuliwa ni kuchomwa moto halafu haufi ili uteseke tu ,kufa ni kutegea adhabu .
Kwa mujibu wa hekaya za kiyahudi kikristo na kiislam Mungu katuleta duniani ili tutekeleze maelekezo yake yasiotekelezeka kwa kutuletea shetani duniani ili ahakikishe tunamkosea Mungu ili apate sababu ya kutuchoma moto MILELE baada ya maisha haya mafupi na mateso matupuHabari wanaJf
Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa...
Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike huko kwenye maisha ya milele kunakosemwa na vitabu vyake bila kupitia hapa duniani kwenye shida na karaha?
Kulikuwa na haja ipi kutupitisha kwenye mateso hali ya kuwa ipo sehemu salama tunaelekea? ( Kwanini alitupitisha duniani?)
Hata wale wasioamini uwepo wa Mungu nao naomba wanisaidie kujua juu ya hili swali langu...kama hakuna maisha baada ya haya kwanini tupitishwe hii sehemu yenye taabu na mateso mengi tena kwenye maisha mafupi..kwanini tumetolewa huko tulikokuwa na kuletwa hapa duniani ambako kuishi kwetu ni muda mfupi na tisingebaki huko huko kama tulikuwa na maisha kabla?
Nini sababu ya sisi binadamu kuletwa/kupitishwa hapa duniani?
Huwezi kuwa na free will wakati hamna kitu chochote unachoweza kuchagua.Naona anayo mkuu, hata Mungu ametoa option ya kuchagua,
Kama sio kwa free will basi angetuchagulia.
Unaposema kumtumikia, unamaanisha kuna mambo fulani unamfanyia. Sasa sisi binadamu tunawezaje "kumtumikia" mungu? Unamtumikia kwa lipi hasa?Ninachoamini Mimi MUNGU ni superior one, ni zaidi ya Emperor, ni zaidi ya king, kwahyo ni lazima nimtumikie, ni lazima nimpende kwasababu he own everything precious like eternal life.
Ndio swali la msingi tunalojiuliza hapa.Haikuwa na namna nyingine ya kutuumba viumbe wake bila kutupatia huo mtego?
Ni kwamba Muumba hana uwezo wa kubalance namba ya watu na eneo aliloliumba?Nadhani kifo kipo ili kupata nafasi ya binadamu wengine kuzaliwa. Imagine watu wangekuwa hawafi tungebanana sana