Freewill ni utapeli mkuuHukutengenezewa kama upungufu, ni zawadi, kwamba uwe na free will. changamoto tu ni kuwa will power haina mipaka, na unaweza ukafanya jambo hata kinyume na aliyekupa huo uwezo wa kuchagua. Hasa ndo kinachokutesa.
Hasira ya Mungu ipo kwasababu uliumbwa ukiwa mkamilifu. Kwa hiyo mapungufu uliyonayo ni ya kujitakia tu, ni kama unavyolea mtoto wako alaf afanye kitu tofauti na unavyo mwelekeza utakasirika
Na wanaamini kabisa hicho kitu ni kikuu kuliko wao na bila hicho kitu hawawezi kabisa .Kwa Jamii za kiafrica kuwaambia kuwa hicho wanachoamini na kuabudu ni watu walikaa na kupanga mipango ya jinsi ya kuiitawala Dunia wanaanza kukukemea kuwa ni pepo🤣🤣
Nasisitiza wapitie pia satanic bible, wafunguliwe akili kdgFreewill ni utapeli mkuu
Kula raha ni dhambi?Hivi ni raha gani hizo ambazo mwanadamu anazikosa kama akiamua kuishi maisha ya utakatifu kiasi cha kuona maisha ni mabaya kama akizikosa?
Ni tamaa mbaya? ulevi? Uchawi? Uzinzi? Ufiraji? Wizi? Kutokuheshimu wazazi? Mbona ni ubatili tu huu.
Mtu yeyote aliyepevuka hata kama hamuamini Mungu anaelewa kabisa hapo ni kujilisha upepo tu wala hayana faida ila hasara.
Hapa umenena mkuu! Yaani unakwambia mtu ata asome satanic bible Ili alinganishe ukweli wa anayofundishwa, anaruka futi 100 yote hiyo ameshapigwa pin, kuwa hata kusoma hiyo biblia ni dhambi, 🙌 sa sijui tutaamka liniNa wanaamini kabisa hicho kitu ni kikuu kuliko wao na bila hicho kitu hawawezi kabisa .
Kufuli na kitasa la kwenye sanduku walilopo ni AHADI NA KITISHO.
Alie kupa freewill anajua kabisa mwishoni lazima uzingue ili akuchome bila kusamehe , halafu yeye anakutaka wewe ukikosewa usamehe , na papo hapo ana dai ana upendo, na hapo hapo anadai upendo huvumilia ,husamehe wala hauhesabu mabaya , na papo hapo yeye anahesabu mabaya kwa kuandika dhambi zetu na wino wa chuma🤔Freewill ni utapeli mkuu
Kuna wale wanafunzi wanajua umuhimu wa elimu wao husoma kwa bidii bila hata fimbo wala ahadi, na kuna wale wanafunzi wao mpaka bakora na vitisho ili wasome ,hivyo yote haya yanahitajika ili mambo yaende.Hapa umenena mkuu! Yaani unakwambia mtu ata asome satanic bible Ili alinganishe ukweli wa anayofundishwa, anaruka futi 100 yote hiyo ameshapigwa pin, kuwa hata kusoma hiyo biblia ni dhambi, 🙌 sa sijui tutaamka lini
Dunia ni darasa, la kutuwezesha kuishi na Mungu milele. Kama tukiamua kumpa Yesu maisha yetu tutapokea wokovu.Habari wanaJf
Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa...
Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike huko kwenye maisha ya milele kunakosemwa na vitabu vyake bila kupitia hapa duniani kwenye shida na karaha?
Kulikuwa na haja ipi kutupitisha kwenye mateso hali ya kuwa ipo sehemu salama tunaelekea? ( Kwanini alitupitisha duniani?)
Hata wale wasioamini uwepo wa Mungu nao naomba wanisaidie kujua juu ya hili swali langu...kama hakuna maisha baada ya haya kwanini tupitishwe hii sehemu yenye taabu na mateso mengi tena kwenye maisha mafupi..kwanini tumetolewa huko tulikokuwa na kuletwa hapa duniani ambako kuishi kwetu ni muda mfupi na tisingebaki huko huko kama tulikuwa na maisha kabla?
Nini sababu ya sisi binadamu kuletwa/kupitishwa hapa duniani?
Habari wanaJf
Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa...
Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike huko kwenye maisha ya milele kunakosemwa na vitabu vyake bila kupitia hapa duniani kwenye shida na karaha?
Kulikuwa na haja ipi kutupitisha kwenye mateso hali ya kuwa ipo sehemu salama tunaelekea? ( Kwanini alitupitisha duniani?)
Hata wale wasioamini uwepo wa Mungu nao naomba wanisaidie kujua juu ya hili swali langu...kama hakuna maisha baada ya haya kwanini tupitishwe hii sehemu yenye taabu na mateso mengi tena kwenye maisha mafupi..kwanini tumetolewa huko tulikokuwa na kuletwa hapa duniani ambako kuishi kwetu ni muda mfupi na tisingebaki huko huko kama tulikuwa na maisha kabla?
Nini sababu ya sisi binadamu kuletwa/kupitishwa hapa duniani?
subiri uone sio hili?Dunia ni darasa, la kutuwezesha kuishi na Mungu milele. Kama tukiamua kumpa Yesu maisha yetu tutapokea wokovu.
naam mkuu dhana ya freewill inakinzana na hizo sifa, kuna maswali uki-reason unaona kabisa freewill haifitAlie kupa freewill anajua kabisa mwishoni lazima uzingue ili akuchome bila kusamehe , halafu yeye anakutaka wewe ukikosewa usamehe , na papo hapo ana dai ana upendo, na hapo hapo anadai upendo huvumilia ,husamehe wala hauesabu mabaya , na papo hapo yeye anahesabu mabaya kwa kuandika dhambi zetu na wino wa chuma🤔
Kwani huko peponi kutakuwaje?Je unachokiona kiko sawa, umewahi kufikiri kinaweza kuwa na madhara kiasi gani kwa wengine?
Kwa mazingira je?
Hapo ndo amri zinaanza sasa, maana binadamu wakikosa mipaka ni disaster.
huko mbali sana mkuuNasisitiza wapitie pia satanic bible, wafunguliwe akili kdg
Bata ipi ya peponi unayoizungumzia hapa? Huko ni kuimba mapambio na kunywa juice. Mambo yote mazuri na matamu ni dhambi, hayatakuwepo peponi.Kwani huko peponi kutakuwaje?
Kwanini asingeumba pepo akatupeleka moja kwa moja maana huko ni hakuna dhambi watu wanakula bata mwanzo mwisho
Nilimsikia Shekh Kipozeo anasema Peponi kuna mito ya pombe, mabikra 72 wabiiiichi…… kuna starehe zaidi ya hiyo kweli? 😂Bata ipi ya peponi unayoizungumzia hapa? Huko ni kuimba mapambio na kunywa juzi. Mambo yote mazuri na matamu ni dhambi, hayatakuwepo peponi.
Labda kule upande wa pili ndo watapewa mabikra na mito ya pombe, nafikoria hukamia huko maana pepo yao inavutia
Hakuna, ila bado najiuliza wanawake wanafaidi nini zaidi ya pombe huko peponiNilimsikia Shekh Kipozeo anasema Peponi kuna mito ya pombe, mabikra 72 wabiiiichi…… kuna starehe zaidi ya hiyo kweli? 😂
🤣🤣 mulemule Sema baadhi yao wanachanganya na ushirikina wakusema YESU ni Mungu sasa Mungu anapakwaje Mafuta hapo ndiyo kuna mpaka mkubwa.subiri uone sio hili?
Ikawaje mungu wao awe na ahadi tofauti na Mungu wako, huku hakuna kula wala kunywa ni harusi moja tu ya mwana kondoo , na kwenu ni bikra 72 na mito ya faru john?🤣🤣 mulemule Sema baadhi yao wanachanganya na ushirikina wakusema YESU ni Mungu sasa Mungu anapakwaje Mafuta hapo ndiyo kuna mpaka mkubwa.
Labda mtapewa vibenten 72 😂Hakuna, ila bado najiuliza wanawake wanafaidi nini zaidi ya pombe huko peponi