Ni Nini sababu ya shinikizo la vitendo vya kikatili nchini Tanzania Kwa Sasa?

Ni Nini sababu ya shinikizo la vitendo vya kikatili nchini Tanzania Kwa Sasa?

EstherSaid

Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
38
Reaction score
84
Nimejaribu kutafakari mnoo swala hili la matukio ya kikatili nchini hususani mikoani Dodoma😭 majibu kamilifu sina.

Ila Mimi naona kwa sector ya masuala ya Imani kumelegea mno🄲.

Watu hawana tena hofu ya Imani zao yaani Mungu šŸ˜’ kwa sababu kwa matukio haya.

Kwa kweli Watanzania hofu ya Mungu inapungua siku Hadi siku šŸ™ Viongoz wa dini, familia majumbani, waalimu mashulenii tuhimize hofu ya Kimungu jamani🄺au nyie mnasemaje jamani?🄲

Soma Pia: Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayoendelea nchini
 
Back
Top Bottom