EstherSaid
Member
- Jun 3, 2024
- 38
- 84
Nimejaribu kutafakari mnoo swala hili la matukio ya kikatili nchini hususani mikoani Dodoma😭 majibu kamilifu sina.
Ila Mimi naona kwa sector ya masuala ya Imani kumelegea mno🥲.
Watu hawana tena hofu ya Imani zao yaani Mungu 😒 kwa sababu kwa matukio haya.
Kwa kweli Watanzania hofu ya Mungu inapungua siku Hadi siku 🙏 Viongoz wa dini, familia majumbani, waalimu mashulenii tuhimize hofu ya Kimungu jamani🥺au nyie mnasemaje jamani?🥲
Soma Pia: Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayoendelea nchini